Leo Waziri
mkuu msitaafu na aliyekuwa Mgombea Urais kupitia Ukawa Mh Edward Lowassa
amemtembelea na kumjulia khali Mh John Heche mbunge aliyelazwa Hospital ya
Muhimbili,na ambaye anaendelea vzr baada ya kupatiwa Matibabu,
Siku ya ijumaa ya mei tano akiwa Dodoma Heche
alipatwa na tatizo la maumivu ya tumbo na kulazimika kukimbizwa katika
hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam.
Taarifa
zilisema kuwa kabla ya kupelekwa Muhimbili alilazwa katika hospitali ya Rufaa
mkoa wa Dodoma lakini alilazimika kukimbizwa jijini Dar es Salaam kwa kwa
uchunguzi wa afya yake ambapo alifanyiwa tena upasuaji baada ya kidonda
alichokuwa nacho kuachia |