UZINDUZI WA UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 MKOANI MWANZA WAFANA.
Mkuu
wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Dk Leonard Masale akizungumza
ijumaa wiki iliyopita wakati wa uzinduzi wa michuano ya Copa Coca-cola
kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Meneja
Mkuu wa Masoko Nyanza Bottling Co. Ltd Mwanza, Deus Kadico akizungumza
wakati wa uzinduzi wa michuano ya Copa Cocacola kwenye uwanja wa CCM
Kirumba jiji ni Mwishoni mwa wiki.
Afisa
Msaidizi wa Masoko wa kampuni ya Coca Cola nchini, Pamela Lugenge
akizungumza wakati wa uzinduzi wa michuano ya Copa Cocacola kwenye
uwanja wa CCM Kirumba jijini mwishoni mwa wiki.
Mkuu
wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Dk Leonard Masale akikabidhi vifaa
vya michezo kwa baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bugogwa
baada ya kuzindua michuano ya Copa Cocacola kwenye uwanja wa CCM
Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.Kushoto ni Mkurugenzi wa Nyanza
Bottling, Christopher Gachuma na wa pili kushoto ni Afisa Msaidizi wa
Masoko wa kampuni hiyo nchini, Pamela Lugenge.

wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Dk Leonard Masale akikagua timu ya
mpira wa miguu ya Nyamagana baada ya kuzindua michuano ya Copa
Cocacola kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Afisa
Msaidizi wa Masoko wa kampuni hiyo nchini, Pamela Lugenge
akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Nyanza Bottling, Christopher
Gachuma wakati wa hafla hiyo