Picha: katika matukio Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt Charles Mlingwa atembelea kiwanda cha kutengeneza Chaki Tarime.
Mkuu wa mkoa wa Mara akisaini kitabu cha Wageni. |
Mkurugenzi wa kampuni ya ARWA INVESTMENT Thobias Raya akitoa maelezo kwa mkuu wa Mkoa waa Mara jinsi kiwanda chake cha kutengeneza chaki kinavyofanya kazi. |
Mkuu wa Mkoa akiangalia jinsi mashine inavyotengeneza Chaki katika kiwanda hicho. |
Mkuu wa mkoa akiangalia Chaki zilizotengenezwa |
Mkuu wa wilaya ya Tarime Glorius Luoga akimpongeza Mkurugenzi wa kampuni ya ARWA INVESTMENT Thobias Raya. |
Mkurugenzi wa ARWA INVESTMENT Thobias Raya akimwonesha Mkuu wa Mkoa wa Mara DKT Charles Mlingwa Chaki ambazo ziko tayari kwa matumizi. |
Jengo linalojengwa kwa ajili ya Kiwanda cha kutengeneza chaki maeneo ya Ronsoti Mafarasini Mjini Tarime. |
Jengo linalojengwa kwa ajili ya Kiwanda cha kutengeneza chaki maeneo ya Ronsoti Mafarasini Mjini Tarime. |
Mkurugenzi wa ARWA INVESTMEN Thobias Raya akionesha jengo litakavyotumika katika uzalishaji wa Chaki. |
Afisa Elimu taalumu Halmashauri ya mji wa Tarime Elias Gibino akizungumiza ubora wa chaki hizo |
Mkuu wa wilaya ya Tarime Glorious Luoga akimpongeza Mkurugenzi wa ARWA INVESTMENT Thobias Raya kwa ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza chaki ambapo ni fursa kwa wakazi wa Tarime. |
"Mkuu wa Mkoa nimekuhakikishia soko zalisha chaki za kutosha utauza hata nje ya mkoa wa Mara kwa kuanza tutaanza na Halmshauri zote za mkoa wangu |
Mkuu wa Mkoa amekuhakikishia soko sasa tutaleta kwa maandishi takwimu za shule za msingi na sekondari kiwilaya hata mkoa kwa siku mahitaji ya chaki alisema Mkuu wa wilaya ya Tarime Luoga. |
Mwenyekiti wa Halamshauri ya Mji wa Tarime Khamis Nyanswi akiongea na Mkurugenzi wa ARWA INVESTMEN Thobias Raya. |
Mafundi ujenzi.PICHA ZOTE NA CLEO24NEWS UKIWA NA HABARI NA MATUKIO PIGA SIMU N0766424928 |