Picha: katika Matukio Baraza la Madiwani Halmshauri ya wilaya ya Sererngeti Mkoani Mara.
Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Mkoani Mara wakiwa katika Baraza la madiwani la kuwasilisha taarifa za kata robo ya tatu mwaka wa fedha 2016-2017. |

Mkurugenzi wa Halamshauri ya wilaya ya Serengeti Mkoani Mara Juma Hamsini akijibu hija za madiwani |
Diwani wa kata ya Mbalibali John Ng'oina akiwasilisha taarifa za kata hiyo |
Diwani wa viti maalumu kata ya Isenye Angel Nyakiboha akiwasilisha taarifa ya kata hiyo |
Diwani wa viti maalumu CCM Kata ya Bisawe Sophia Boniphace akiwasilisha taaria za kata hiyo. |
Diwani wa kata ya Kisangura Samson Ryoba akiwasilisha taarifa ambapo amezungumzia suala la changamoto ya wanyama wakali akiwemo Tembo kuwa ni changamoto kubwa katika wilaya ya Serenngeti. |
PICHA ZOTE NA CLEO24NEWS UKIWA NA HABARI NA MATUKIO PIGA SIMU NO:0766424928 |