Warembo wa castle lite wakiwa tayari kuwapokea wateja katika Bar ya La Chaz Sinza Mori ambapo burudani mbali mbali ziliendelea. ‘Castle
Lite Unlocks’ ambayo lengo lake ni kuhamasisha wateja wake wa bia chapa
Castle Lite kuifurahia zaidi na pia kuwaleta pamoja katika tamasha
kubwa litalofanyika mwezi wa Julai mwaka huu.
Mc akifurahi jambo na mteja aliyefika La Chaz Bar mara baada ya kujipatia Castle lite
Mc
akisoma Kuponi ya zawadi ya mteja aliyoshinda katika Bar ya La Chaz
Sinza Mori katika kampeni ‘Castle Lite Unlocks’ ambayo lengo lake ni
kuhamasisha wateja wake wa bia chapa Castle Lite kuifurahia zaidi na pia
kuwaleta pamoja katika tamasha kubwa litalofanyika mwezi wa Julai mwaka
h
Burudani
ya Muziki ukiendelea katika Bar ya La Chaz Sinza Mori mapema wiki hii
katika kampeni ya Castle Lite Unlocks’ ambayo lengo lake ni kuhamasisha
wateja wake wa bia chapa Castle Lite kuifurahia zaidi na pia kuwaleta
pamoja katika tamasha kubwa litalofanyika mwezi wa Julai mwaka h