Diwani Nyarokoba Wanachi fanyeni Maendeleo.
| Diwani wa kata ya Nyarokoba Matiko Bisendo akiongea na Wananchi katika Mkutano wa hadhara ambao ulifanyika hivi karibuni katika kijiji cha Genkuru |
| Mwenyekiti wa kijiji cha Genkuru John Mkila akiongea na Wanachi katika Mkutano huo |
| Mtendaji wa kata ya Nyarokoba Deodatus Weikama akiongea na Wananchi wa kijiji cha Genkuru |
| Katikati ni Mwenyekiti wa Kijiji cha Genkuru Gichogo Chacha akisisitiza jambo kulia ni diwani wa Kata ya Nyarokoba Matiko Bisendo. |
| Wananchi wakichangia. |
| Akina Mama wakiwa katika Mkutano huo. |