TASWIRA MASHABIKI WA SIMBA WALIVYOJITOKEZA UWANJA WA CCM KIRUMBA
Mashabiki wa Simba waliojitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, jana.
Mashabiki
hao walijitokeza wakati Simba ikiivaa Mbao FC katika mechi iliyoisha
kwa ushindi wa mabao 3-2 walioupata Wekundu hao wa Msimbazi.
Simba
ilikuwa nyuma kwa mabao 2-0 hadi dakika ya 82. Lakini mabao mawili ya
Frederic Blagnon na Muzamiru Yassin aliyemaliza kazi katika dakika za
nyongeza.