JESHI
la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limemkamata mtuhumiwa
Musuguri David (29) anayedaiwa kumuua mpenzi wake Samira Masoud (34) kwa
kumchinja kisha mwili wake kuwekwa katika diaba/jaba la maji kisa wivu
wa mapenzi maeneo ya Kibamba.