PICHA: KATIKA MATUKIO WANACHI KIJIJI CHA KEISANGURA KATA YA NYAMWAGA WAKUBALI OFISI YA SERIKALI YA KIJIJI KUFUNGULIWA

Diwani wa kata ya Nyamwaga na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Moses Misiwa Yomam akiongea na Wanachi wa kijiji cha Keisangura kuhusiana na tukio la kufungwa kwa ofisi ya kijiji hicho zaidi ya Wiiki moja ili kuweza kupata ufumbuzi wa sualahilo.




Mwenyekiti wa kijiji cha Keisangura  Nuru Kisiri  Mwita ambaye ametangaza mbele ya mkutano wa Wananchi  kuandika barua ya kujiuzulu kwani Waanchi wake wamedai kuwa kwa sasa hawana imani naekutokana na tuhuma juu ya kukatwa mkono mmoja wa wanachi katika kijiji hicho.



Diwani wa kata ya Nyamwaga ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Moses Yomam akifafanua jambo katika Mkutano huo na badae kufungua ofisi ya serikali ya kijiji cha Keisangura baada ya wanachi kuafikiana  kuwa ofisi saas ifunguliwe kwa kuwa  Mwenyekiti wa kijiji hicho ametangaza kuandika barua ya kujiuzulu.

 

Diwani akisalimia Wanchi wake.


Diwani akifuangua ofisi ya serikali ya Kijiji cha Keisangura baada ya wanchi kukubali ifunguliwe.


Wananchi wakifurahi kufunguliwa kwa Ofisi hiyo


Powered by Blogger.