Picha katika Matukio Mr: Focus atoa Elimu kwa Wakazi wa Nyamongo Tarime, jinsi ya kukuza kipato na kuzitambua Fursa

Mwezeshaji kutoka Kahama-Shinyanga Mr Focus Azaliah Erasto akitoa Elimu ya binadamu na Mafanikio yake pamoja  mbinu, mawazo ya mbadala ya kukuza kipato ikiwa ni pamojana kuzitambua fursa  katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Ingwe Nyamongo Wilayani Tarime Mkoani Mara.

Mr: Focus akieleza lengo la Warsha hiyo kwa wadau wa Nyamongo wilayani  Tarime.


Mr Focus akifanya mahojiano na Mkurugenzi mtendaji wa CleoNewstz Frankius Cleophace

Nicodemus Keraryo mkazi wa Nyamongo ambaye pia ni mwezeshaji akieleza fursa zilizopo Nyamongo ili vijana waweze kuzitumia ilikujikomboa kiuchumi na siyo kutegemea Mgodi tu.

Mahojiano

Nasikilza kwa Makini

Washiriki wa Warsha hiyo katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Ingwe Nyamongo

Kuna haja kubwa ya kutumia kilimo cha kijana kwa sababu Mvua Tarime zipo

Mgeni Rasmi akifungua Warsha hiyo.


Nieleweni vija kuna siku Mgodi utaondoka sasa ni wajibu wetu kutafakari cha kufanya kwa lengo la kjikomboa fursa zipo nyingi tuzitumieni.

Nicodemus Keraryo ambaye pia ni Mwezeshaji akitoa Elimu juu ya Fursa zilizopo ili vijana wa Nyamongo  waweze kuzitumia vyema kwa lengo la kunufaiki, zikiwemo Fursa za Kilimo, Ufugaji Kuku,ulimaji wa Mbogamboga.

Fursa

Swali

Mr Focus akitoa somo kwa wakazi wa Nyamongo wakiwemo Wanafunzi pamoja na wajasiriamali na Wafanyabiashara

Mr Focus akitoa somo kwa wakazi wa Nyamongo wakiwemo Wanafunzi pamoja na wajasiriamali na Wafanyabiashara



Mr Focus akitoa somo kwa wakazi wa Nyamongo wakiwemo Wanafunzi pamoja na wajasiriamali na Wafanyabiashara

Nasisitiza kutimiza Ndoto kwanza FOCUS.

Mshiriki akiuliza Swali

Swali


Washiriki wakisiliza Mada


Mwanafunzi wa Ingwe Sekondari akieleza kile alichojifunza katika Warsha hiyo.

Picha ya Pamoja baada ya Warsha

Nawashukuru sana kwa kushiriki

Akitetea na Mr Focus


Powered by Blogger.