MECHI YA AZAM FC YAWAKIMBIZA SIMBA DAR ES SALAAM


Kikosi cha Simba kimeamua kuhamia mkoani Morogoro.

Simba wameondoka jana kwenda Morogoro kwa ajili ya kuweka kambi kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Azam FC.

Mechi ya michuano hiyo hatua ya nusu fainali itachezwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Powered by Blogger.