DIASPORA WAFANYA KONGAMANO LA KUJADILI NAFASI YAO KATIKA UCHUMI WA TANZANIA
|
Mkurugenzi
wa Ikolo Investment Ltd Magidd Mjengwa akizungumza wakati wa Kongamano la Diaspora
kujadili kuhusu nafasi yao katika kukuza uchumi wa Tanzania.Kulia ni Mwenyekiti
wa Jukwaa la Diaspora Tanzania Mwinyimwaka Khatibu.
|
Picha na: Frank Shija







