Mbunge wa jimbo la Serengeti Marwa Ryoba akikagua mradi wa chujio katika bwawa la Manchira ambao unatakiwa kukamilika aprili 27 mwaka huu. Shughuli zinaendelea ili kuhakikisha wanakabidhi siku hiyo. Kazi zinaendelea Mafundi wakiendelea na upasuaji HABARI KWA HISANI YA SERENGETI MEDIA CENTRE