Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yatembelea kampuni ya simu za mkononi Tigo.
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya Miundombinu
ya Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania wakiwasili kwenye ofisi za Tigo Jijini
Dar Es salaam jana
|
Mkurugenzi Mtendaji
wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya
kudumu ya Miundo mbinu, mara baada ya kuwasili katika ofisi za Tigo Kijitonyama jana.
|
Mkurugenzi Mtendaji
wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya
kudumu ya Miundo mbinu, mara baada ya kuwasili katika ofisi za Tigo Kijitonyama jana.
|
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya Miundo mbinu, Prof. Norman
Sigalla akifafanua jambo kwa Mkurugenzi
Mtendaji wa Tigo Tanzania, Diego
Gutierrez na mjumbe wa kamati hiyo.
|
Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akiongea na
wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu kwenye kikao kilichofanyika jana ofisi za Tigo jijini Dar Es Salaam.
|
Mkurugenzi
Mtendaji wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akifafanua jambo kwa
wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu kwenye kikao
kilichofanyika
leo ofisi za Tigo jijini Dar Es Salaam.
|
. Mjumbe wa kamati ya
Miundombinu ya bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh. Anna Tibaijuka
akiongea na wafanyakazi wa Tigo
|
Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Ufundi Tigo,Jerome Albou, akifafanua jambo kwa wajumbe wa kamati ya
miundombinu ya bunge la Tanzania walipotembelea ofisi za Tigo jana
|
. Mjumbe wa kamati ya
Miundombinu ya bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh. Anna Tibaijuka
akiongea na wafanyakazi wa Tigo
|
Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akiongea na
wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu kwenye kikao kilichofanyika jana ofisi za Tigo jijini Dar Es Salaam.
Na Crantz Mwantepele