KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA HABARI.
Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii
pamoja na Waziri, Naibu Waziri na watendaji wakuu wa Wizara na Taasisi zake
wakijadili Bajeti ya Wizara hiyo Mjini Dodoma.
|
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma na
Maendeleo ya Jamii Mhe. Mussa Azzan Zungu akizungumza katika kikao cha kujadili
Bajeti ya Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mjini Dodoma.
|