Atoa Ushuhuda kwa Wazee wa Mila na Wananchi Tarime jinsi alivyosaidiwa n...
Winfrida
Mwita Ezekiel Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Remagwe Wilayani Tarime
Mkoani Mara akitoa Ushuhuda kwa Wazee wa Mila Muungano wa Koo12 Kabila
la Wakurya pamoja na Wananchi katika Mkutano wa hadhara uliofanyika
kijiji cha Ng'ereng'ere baada ya kupinga suala la Ukeketaji Mwaka 2008
alipokimbilia katika kituo cha kuifadhi wasichana wanaokimbia Kukeketwa
ATFGM Masanga na Mpaka assa ameona Matunda yake baada ya Kusoma na
kupata kazi.
Sister
Stella Mgaya ambaye ni Mkurugenzi wa Shirika hilo la ATFGM Msanga
akieleza jinsi shirika hilo lilivyosaidia Mabinti 58 walikombia
ukeketaji Mwaka 2008 akiwemo Afisa Mtendaji huyo ambaye kwa sasa
amepatiwa Elimu na wazazi wao na Mpaka sasa anaishi Vizuri hata kama
hajakeketwa.
,,,Tazama Video hapa Chini Afisa Mtendaji akitoa ushuhuda huo,,,,