Aliyegombe Ubunge kupitia ACT Wazalendo Tarime Mjini ahamia CCM
Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Tarime Kushoto Daud Marwa Ngicho
akisalimiana na Deogratius Meck aliyekuwa Mgombea Ubunge ACT Mwaka 2015
Jimbo la Tarime Mjiji ni baada ya kujiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi
hii leo.

Mwenyekiti
wa CCM Wilaya ya Tarime Daud Marwa Ngicho akiongea na Vyombo vya habari
kipindi akipokea Wanachama Saba akiwemo Deogratius Meck ambaye alikuwa
Mgombea Ubunge Jimbo la Tarime Mjini ACT na Mmoja wa CUF akiwemo Katibu
wa ACT Tarime.

Wanachama wapya Waliojiunga na CCM leo Tarime.

Katibu wa CCM Tarime Hamis Mkaruka Kura akiongea na Wanachama wapya baada ya kuwapokea rasmi.
Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Tarime Godfrey Francis akiwakaribisha Wanachama Wapya.
Picha ya pamoja Viongozi wa CCM Wilaya ya Tarime na Wanachama Wapya walijiunga leo na chama hicho.
Deogratius
Meck aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama Cha ACT Wazalendo akiongea
na Vyombo vya habari baada ya kujiunga rasmini na Chama Cha Mapinduzi.
,,,Tazama Video hapa chini alichokisema Deogratius Meck na Viongozi Wengine,,,,