Polisi Tarime Rorya wakamata Magunia 23 ya bangi watuhumiwa 15 wanashikiliw...
| Kamanda wa Polisi Tarime Rorya SACP Henry Mwaibambe akionyesha Bhangi zilizokamatwa kati ya MA Magunia 23 huku watuhumiwa 15 wakikamatwa akiwemo Mwanamke Mmoja . |
amesema kuwa jeshi hilo kipindi cha wiki moja limefanya msako mkali
dhidi ya madawa ya kulevya pamoja na uhamiaji haramu na kuwakamata jumla
ya watuhumiwa 15 kati yao Mwanamke mmoja na Magunia 23 ya Bhangi,
Mafurushi Nane ya Mirungi,Gari moja aina ya Premio iliyokuwa
ikisafirisha madawa ya kulevya Mirungi, na Pikipiki moja aina ya Sanlg
ilikuwa ikitumika kusafirisha madawa ya kulevya Bhangi pamoja na
wahamiaji Wawili raia wa Ethiopia na Watanzania wawili waliokuwa
wakiwasafirisha.
| Magunia ya Bhangi ambayo ikotayari kusafirishwa yaliyokamatwa na Polisi. |
| Kamanda akionyesha Bhangi zilizokamatwa. |
| Picha zote na CLEO24NEWS. |
Kamanda wa Polisi Tarime Rorya SACP Henry Mwaibambe akiongea na Waandishi wa habari.
| Tazama Video hapa Chini Kamanda akizungumzia tukio hilo. |