CCM Tarime watembelea Miradi ya Maendeleo






Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Tarime Daud Marwa Ngicho akiongea
na Waandishi wa habari ofisi kwake baada ya kumaliza Ziara ya kukagua
Miradi ya Maendeleo katika Sekta ya Afya, Maji na Elimu kwenye Majimbo
Mawili jimbo la Tarime Mjini na Vijijini.
Wajumbe wa kamati ya Siasa Wilaya ya Tarime.
Tazama Video  hapa chini Viongozi wa CCM Tarime wakizungumzia Ziara hiyo.
Powered by Blogger.