CCM Tarime wasemaji wa Chama wapo Puuza Maneno ya watu ambao siyo Viongozi
| Marema Sollo ambaye ni katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Tarime Mkoani Mara akiongea na Waandishi wa habari ambapo amesema kuwa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Tarime kina wasemaji wa chama hicho siyo kwamba kila Mwanachama ni msemaji na hawatavumilia suala hilo. |