Wanaokopa Matrilioni Nje Ya Nchi Kwa Dhamana ya Ardhi ya Tanzania Kubanwa Zaidi

Diwani wa kata ya Mkoma Lazaro kitori akiongea na Wananchi wa kata ya Mkoma baada ya kutoka Gerezani kutokana na kesi iliyokuwa ikimkabiri, Kitori amesema kuwa amekaa nje ya Utumishi wake wa udiwani kipindi cha Miezi 18 na sasa amekuwa huru anaenda kuwatumikia Wananchi wote.
Wananachi wakimpongeza Diwani Kitori.
Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara Mwl: Chacha Heche akiongea na Wananchi wa Wilaya ya Rorya katika Mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya kata ya Mkoma.
Wakazi wa Kata ya Mkoma wakiwa katika Mkutano huo.

Tazama Video alichokisema Diwani huyo na Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara Mwl: Chach Heche.
Powered by Blogger.