Video, alivyopokelewa na Wananchi Diwani Lazaro Kitori kata ya Mkoma Ror...

Diwani
wa kata ya Mkoma Lazaro kitori akiongea na Wananchi wa kata ya Mkoma
baada ya kutoka Gerezani kutokana na kesi iliyokuwa ikimkabiri, Kitori
amesema kuwa amekaa nje ya Utumishi wake wa udiwani kipindi cha Miezi 18
na sasa amekuwa huru anaenda kuwatumikia Wananchi wote.
Wananachi wakimpongeza Diwani Kitori.
Katibu
wa CHADEMA Mkoa wa Mara Mwl: Chacha Heche akiongea na Wananchi wa
Wilaya ya Rorya katika Mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya kata
ya Mkoma.
Wakazi wa Kata ya Mkoma wakiwa katika Mkutano huo.


Tazama Video alichokisema Diwani huyo na Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mara Mwl: Chach Heche.

Powered by Blogger.