MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA AWATAKA VIJANA MKOANI MARA KUDAI HAKI ZAO BILA KUOGOPA.





Mwenyekiti wa Uvccm Taifa Kheri james akizungumza na wakazi wa Nyamwaga wilayani Tarime Mkoani Mara.



Kutoka kushoto aliyeshikilia Bahasha anaitwa ni Deusi Matete Mwenyekiti wa kikundi cha wakelketwa vijana wa Uvccm Nyamwaga katikati ni mwenyekiti wa CCM Taifa Kheri James kushoto kwake ni Godfrey Francis mwenyekiti Uvccm Tarime.
Katikati ni mwenyekiti wa Uvccm Taifa Kheri James na kushoto kwake ni mwenyekiti wa Uvccm Tarime Godfrey Francis Mwenyekiti wa Uvccm Wilaya ya Tarime wakiambana katika ziara.












Mwenyekiti wa Uvccm Taifa akipanda mti kwa ajili ya kumbukumbu ya Comred Kheri Denis James.
















Mwenyekiti akizindua Tawi la wakeleketwa Mtaa wa J.k Nyerere Nyamwaga.















Sehemu ya wananchi waliojitokeza kumpokea Nyamwaga.









Diwani  Viti Maalum kata ya Nyamwaga  Mariam Mkono akisalimiana mwenyekiti wa CCM Taifa.







Sehemu ya Vijana waliopokelewa na mwenyekiti wa Uvccm Taifa








Kiapo cha chama kikiendelea mara baada ya kupokelewa vijana hao.


 
Kauli hiyo imetolewa na mwenyekiti wa vijana Taifa Hery james wakati akizungumza na wakazi wa kata Nyamwaga wilayani Tarime mkoani mara,mara baada ya kuzindua shina la umoja wa vijana wanaojishughulisha na utengenezaji thamani mbalimbali. 
 
Hery aliwataka vijana kuhakikisha wanajitoa kufanya kazi nakuahidi kurejesha maeneo yote ambayo yanashikiliwa na chadema kwa sasa. 
 
Pia katika ziara yake Nyamwaga amepokea vijana 50 ambao wamepewa kadi kwa ajili ya kujiunga na chama cha Mapinduzi.
 
  Kwa upande wake mwenyekiti wa vijana uvccm wilayani Godfrey Francis Tarime amesema watahakikisha wanaisimamia ilani ya chama cha mapinduzi nakuhakikisha vijana wanakuwa juu katika kiuchumi kwani mpaka sasa kuna vikundi zaidi ya 30 vimewezesha ili kuhakikisha vijana wanajikwamua kiuchumi. 
 







Powered by Blogger.