Waziri Ummy Mwalimu natoa Miezi sita kuanzishwa mara moja madawati ya us...

Waziri
wa Afya Maendeleo ya jamii jinsia, wazee ,na watoto Mh Ummy Mwalimu
akiongea na wanachi katika Kilele cha maaadhimisho ya siku ya Mtoto wa
kike Duniani ambapo ametoa miezi sita kwa shule za Msingi  kuandaa
madawati ya usalama wa mtoto ili watoto hao wapate pakutaoa taarifa zao
pale wanapofanyiwa ukatili wa kijinsia.
  
Maadhimisho hayo kitaifa yamefanyika Mkoa wa Mara Wilaya ya Tarime Viwanja vya Chuo cha Ualimu TTC Tarime Mjini.
TAZAMA VIDEO AKITOA AGIZO HILO.
Powered by Blogger.