Waziri Ummy Mwalimu atoa miezi mitatu kwa Maofisa Elimu kutoa taarifa za...
Waziri wa Afya Maendeleo ya jamii jinsia, wazee ,na watoto Mh Ummy Mwalimu akiongea na wanachi katika Kilele cha maaadhimisho ya siku ya Mtoto wa kike Duniani ambapo amewataka Maofisa elimu hapa nchini kutoa takwimu kila baada ya miaezi mitatu juu ya watoto wanaoachishwa shule kwa sababu ya kupata Mimba. |
Maadhimisho hayo kitaifa yamefanyika Mkoa wa Mara Wilaya ya Tarime Viwanja vya Chuo cha Ualimu TTC Tarime Mjini.
TAZAMA VIDEO AKITOA AGIZO HILO.
TAZAMA VIDEO AKITOA AGIZO HILO.