MICHUANO YA SIRO CUP YAZINDULIWA MKOANI MARA
Na Makaliblog
Mashindano ya mpira wa miguu ya SIRRO CUP yameanza kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali wilayani Butiama mkoani mara lengo likiwa ni kumuenzi muasisi wa taifa hili Mwl. JULIUS KAMBARAGE NYERERE .
Hayo yamlisema wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo na mkuu wa wilaya ya Butiama BI. ANNA ROSE NYAMUBI alisema licha ya mashindano hayo kuwa lengo la kumuenzi muasisi wa taifa hili lakini pia yanatarajiwa kuwa chachu ya kupunguza matukio ya uhalifu hapa nchini.
Mashindano hayo yalianza hapo jana kwa kuzishirikisha timu mbili ikiwemo Butiam Fc na mryaza FC ambapo mashindano hayo yalianzishwa na IGP Saimoni siro ambapo mashindano hayo yanafanyika nchi nzima huku kufanya mashindno hayo nikuodoa changamoto za uhalifu katika jamii mbalimbali za kitanzana kwa kuwakutanisha vijana katika michezo.
Wakazi wa Butima wakifatilia mchezo huo
Maafisa wa polisi wa kifatilia mchezo wakwanzaalievalia track za blue na kitambaa kichwani ni mkuu wawilaya ya butima Annarose nyamubi
Mashabiki wakiwa makini kufatiria mchezo huo.