Waziri January Makamba ulinzi wa Mto Mara ni wa “kufa na kupona”
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano January Makamba akihutubia wanachi katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mto Mara ambayo ufanyika kila Mwaka kwa kushirikisha Nchi ya Tanzania na Kenya ambapo mwaka huu maadhimisho hayo yamefanyika Tanzania Wilayani Tarime Mkoani Mara. Kauli mbiu ya Maadhimisho hayo inasema Afya ya Mto Mara kwa Maendeleo Endelevu . Waziri amewataka wakuu wa Mikoa na Wilaya wakurugenzi wa Halmashauri ambapo mto mara unapita kuimiza wanachi kupanda miti rafiki ili kutunza vyanzo vya mito na maziwa |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano January Makamba akipewa maelezo katika Vibanda vya Maonyesho. |
Mkulima akielezawaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano January Makamba namna ya matumizi ya kilimo bora. |
Denis Damian kutoka Bank ya CRDB Tawi la Tarime akieleza waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano January Makamba jinsi wanavyotoa huduma kwa wateja |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano January Makamba akioneshwa Mipaka, ramani inayoonesha wanyama ambao wanaingia Nchi ya Kenya.
Meneja wa Kampuni ya Mara Online Maurine Magaria akimweleza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano January Makamba kampuni hiyo inahusika na kitu gani. |
Kushoto ni Naibu waziri wa Maji Mhandisi Isack Aloyce Kamwelwe na wa pili kushoto ni waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano January Makamba |
Viongozi kutoka Nchini Tanzania katika kilele cha Maadhimisho hayo. |
Baadhi ya Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Mara |
Viongozi kutoka Nchi ya Kenya katika kilelea cha Maadhimisho hayo ya Mto Mara. |
Kiongozi kutoka Nchi ya Kenya akitoa hotuba yake katika Kilele cha Maadhimisho hayo. |
Naibu waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Aloyce Kamwelwe akitoa hotuba ya Waziri wa Maji Gerson Lwenge katika Kilelea cha Maadhimisho ya siku ya Mto Mara. |
Mkuu wa Mkoa wa Mara Dr: Charles Mlingwa akihutubia Wanachi katika Maadhimisho hayo |