Search for Common Ground tutaendelea kutoa Elimu juu ya kutunza Mazingira
Afisa Mradi kutoka shirika la Search for Common Ground Antony Guninita akiongea na CLEO24 NEWS jinsi shirika hilo linavyosaidia kutoa elimu juu ya Utunzaji wa Mazingira ukiwemo mto Mara |
Banda la Maonyesho Shirika la Search for Common Ground katika Maadhimisho ya Siku ya Mto Mara ambayo ufanyika kila Mwaka kwa kushirikisha Nchi Mbili Tanzania na Kenya ambapo mwaka huu maadhimisho hayo yamefanyika Nchini Tanzania katika Wilaya ya Tarime Huku kauli mbiu ikisema kuwa Afya ya Mto Mara kwa Maendeleo Endelevu. |
Viongozi wa Shirika la Search for Common Ground wakiwa katika picha ya pamoja na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya SACP Henry Mwaibambe baada ya kutembelea banda hilo. |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano January Makamba akihutubia wanachi katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mto Mara ambayo ufanyika kila Mwaka kwa kushirikisha Nchi ya Tanzania na Kenya ambapo mwaka huu maadhimisho hayo yamefanyika Tanzania Wilayani Tarime Mkoani Mara. |
Maandamano |
TAZAMA VIDEO AFISA MRADI KUTOKA SEARCH FOR COMMON GROUND AKIELEZA WALIVYOJIKITA KATIKA KUFIKISHA ELIMU KWA JAMII.