Mwenyekiti wa Halmashauri Mji Tarime Nyanswi akabidhi zawadi kwa wanafunzi washindi katika Mtihani wa kijipima Ngazi ya kata.


Mwenyekiti
wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Hamis Nyanswi ambaye pia ni Diwani wa
Kata ya Sabasaba akikabidhi zawadi ya Madaftari kwa mwanafunzi
aliyeongoza kati ya wanafunzi 358 kutoka shule Nne zilizomo ndani ya
kata hiyo walioshiriki Mtiani wa kijipima wa kata.
Godliver Johnson Maiga ambaye Msichana aliyeongoza katika Kumi bora akikabidhiwa zawadi
Wanafunzi waliofanya vizuri



Picha ya pamoja na Mgeni rasmi
Mwenyekiti akiteta jambo na Mwalimu Mkuu shule ya Msingi Azimio
Picha ya Pamoja Walimu wa Shule hizo pamoja na wanafunzi washindi wakiwa na zawadi zao

Wanafunzi wa darasa la kwanza  Shule ya Msingi Azimio wakiwa darasani
Miundo mbinu ya Madarsa
Walimu wako kazini Ofisi ni Changamoto

TAZAMA VIDEO KUPATA HABARI KAMILI.


Powered by Blogger.