Sababu Iliyowafanya Wabunge wa Upinzani Wasuse na kutoka Nje
Wanasheria
nchini Uganda wameamua kuifikisha familia ya Ivan Mahakamani kwa makosa
ya kuzika pesa halali za Jamhuri ya Uganda katika kaburi la ndugu yao
Ivan. Kwa nchi yoyote kitendo hicho hakikubaliki kwani pesa hizo
zingeweza kutumika katika shughuli zingine na kukuza uchumi wa nchi.
Kitendo hicho kinakuja baada ya marafiki wa Ivan kumwaga mamilioni ya pesa ndani ya kaburi la Ivan kama njia ya kumuaga rafiki yao aliyekuwa maarufu kwa matumizi makubwa ya pesa.
Wanasheria wakiongozwa na Tugume Gideon wa Human Rights Defenders Association Uganda wamesema hawakufurahishwa na kitendo cha RICH GANG cha kuzika mamilioni ya pesa ndani ya kaburi, na kwa vile ni kinyume cha sheria,
wameamua kwenda mahakamani kuomba kaburi la Ivan lifukuliwe, pesa zitolewe zikafanye shughuli nyingine na waliohusika washitakiwe kwa kuharibu kwa makusudi alama ya taifa.