TAKWIMU TAMU KUHUSIANA NA LA LIGA, SOMA UBURUDIKE



TAKWIMU ZA NAMBA:

Barcelona wameshinda mfululizo mechi zao tatu zilizopita

Real Madrid wamshinda mechi zao zote 6 za mwisho ugenini

Atletico Madrid wamecheza mechi tisa mfululizo bila ya kupoteza hata moja

Madrid wameruhusu bao katika kila mechi kwa zote kumi zilizopita

 Real Madrid wamefungwa bao katika mechi 10 zilizopita za ugenini

Sevilla hawajapoteza mechi kwa 11 zilizopita mfululizo

Barcelona hawajapoteza mchezo kwa mechi 15 mfululizo

Sevilla wamefunga mabao katika mechi zao



TAKWIMU ZA ASILIMIA:

Granada wamepoteza nafasi ya kushinda mechi zao 5 za nyumbani

85% za pointi za La Palmas zimepatikana katika mechi za nyumbani

Real Betis wamepoteza mechi zao za ugenini kwa 71%


Real madrid wameshinda mechi zao za ugenini kwa 75%

66% ya mabao waliyofungwa Villarreal, wamefungiwa nyumbani

Real Betis wamepoteza 71% ya mechi ya zao zote za nyumbani

59% ya mechi za nyumbani za Sporting Gijon ni kupoteza

Atletico Madrid wamefunga mabao katika mechi zao zote sita mfululizo

Barcelona wameshinda 71% ya mechi zao za La Liga

Barcelona wamefunga mabao kwa 94% kwa mechi zao zote

Real Madrid wamefunga mabao katika mechi zap za nyumbani kwa 100%

Powered by Blogger.