SPORTPESA YAMWAGA SH MILIONI 250 KWA SINGIDA UNITED





Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya SportPesa imetangaza kuingia mkataba wa mwaka mmoja na klabu ya Singida United.

Singida United imeingia mkataba wa mwaka mmoja na SportPesa ambao thamani yake ni Sh 250.



Hafla ya kusaini mkataba huo imefanyika leo katika moja ya hoteli maarufu jijini Dar es Salaam.
Pia kutakuwa na bonus kama watachukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara au Kombe la Kagame au ubingwa wa Afrika.
Singida United inakuwa timu ya tatu kuingia mkataba na SportPesa ambao walianza na Simba, baadaye Yanga.
Powered by Blogger.