RATIBA KAMILI SUPER CUP YA SPORTPESA, SIMBA, YANGA VS WAKENYA KAZI IPO
Sport Pesa Cup
5/6 Singida united Vs FC leopard
Yanga Vs Tusker fc
6/5 Simba Vs Nakuru All Star
Jang`ombe boys vs Gor mahia
Nusu fainali tarehe 8
Bingwa wa mechi kati ya Singida united vs AFC leopard atacheza na bingwa kati ya Yanga na Tusker
Nusu
fainali ya pili Bingwa wa mechi kati ya Simba na Nakuru all star
atacheza na bingwa wa mechi kati ya Jangombe boyz na Gor mahia
Fainali ni tarehe 11 Bingwa kupata milioni 60.
Ligi
itadhirikisha timu za Kenya na Tanzania na ligi itashirikisha timu nane
na mshindi atapata dola 30,000 na mshindi wa pili dola 10,000.