MAZOEZI YA MWISHO YA SIMBA KWENYE UWANJA WA JAMHURI JANA


Leo ndiyo ile kazi, Simba vs Mbao FC katika mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.

Simba walifanya mazoezi yao ya mwisho jana na hizi hapa taswira za mazoezi ya mwisho ya Simba.





Powered by Blogger.