MAPEMAA, MANCHESTER CITY WAANIKA UZI WAO WA NYUMBANI MSIMU UJAO


Manchester City wala hawajataka kuchelewa, mapemaa wameamua kuweka hadharani uzi wao mpya wa msimu wa 2017-18.

Uzi huo kwa vikosi vyote, yaani timu kubwa ya wanaume na wanawake, vijana na zile za watoto sasa uko hadharani.

Uzi waliouanika Man City ni ule wa blue bahari ambao unajulikana kama "Jezi za Nyumbani".




Powered by Blogger.