JUMUIYA YA MADOLA YA WAPIGA MSASA WABUNGE KUTOKA NCHI 16 HUKO AFRIKA KUSINI.
Wajumbe wa Bunge la Umoja wa Bunge la Jumuiya ya Madola wakiwa katika
picha ya pamoja kabla ya kuaza kwa Mafunzo ya wiki moja yalioandaliwa na
Bunge hilo, katika mafunzo hayo Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania limewakilishwa na Naibu Spika Dr. Tulia Ackson na Baraza la
Wawakilishi Zanzibar limewakilishwa na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu
Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said.
Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano Dr Tulia Ackson pamoja na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Simai Mohammed Said wakishiriki katika masomo ya wiki pamoja huko Afrika Kusini University of Wits ambapo jumla ya Wabunge kutoka nchi 16 kutoka Jumuiya za Madola wameshiriki masomo hayo.

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said
akiwasilisha kazi ya kikundi wakati wa mafunzo hayo ya wiki moja
yanayofanyika Nchini Afrika Kusini yalioandaliwa na Umoja wa Bunge la
Jumuiya ya Madola, akieleza kuhusiana na umuhimu wa kamati za kudumu za
mabunge ya Jumuiya Madola kuelekea karne 21.
Kutoka kushoto ni Mbunge kutoka India Ajay Misra, Naibu Spika Tanzania
Dr Tulia Ackson, Seneta kutoka Jamaica Charles Pearnel na Mussa Dlamini
Swaziland. Masomo hayo yanafanyika Johanessberg University of
Witwatersrand kwa wiki moja na kudhaminiwa na Commonwealth Wealth.
Wawakilishi kutoka Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Naibu Spika Dr.Tulia Ackson pamoja Simai Mohammed
Said kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiwa masomomi South Africa
University of Witwatersrand wakibadilishana mawazo na Mbunge wa
Swaziland Mhe Mussa Dlamini
Naibu wa Spika wa Jamhuri ya Muungano Dr Tulia Ackson akisikilizwa kwa umakini na washiriki wenzake. Kutoka kushoto Mhe.Simai Mohammed Said ( Zanzibar ) Pearnel Charles Junior ( Jamaica) Mussa Dlamini ( Swaziland ) na Ajay Misra ( India).

Waheshimiwa
Wabunge wa Nchi za Jumuiya ya Madola wakiwa katika mafunzo Nchini
South Africa. wakifuatilia mafunzo hayo kwa makini.
Wajumbe
kutoka Mabunge ya nchi za Jumuiya ya Madola ( Commonwealth Countries)
wakitembelea Mahakama ya Katiba ( Constitutional Court ) katika mji wa
Johannesburg.
Mwakilishi
wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai
Mohammed Said (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa
mafunzo hayo kutoka kushoto Mbunge wa Jamaica.Mhe.Heroy Clarke ( MP),
Charles Pearnel Seneta pia akiwa Waziri wa Mambo ya ndani Jamaica,
Stewart Michael ( MP) na Victor Wright ( MP ).
Mjumbe
kutoka Jumuiya ya Madola pia akiwa Mwakilishi kutoka Baraza la
Wawakilishi Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akibadilishana mawazo na
Profesa David Everatt ambaye ni Kiongozi wa Skuli ya Utawala katika
University of Wits, South Afrika.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Tulia Ackson akitoa nasaha zake za shukrani kwa niaba ya Wabunge kutoka nchi za Jumuiya ya Madola walioshiriki mafunzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa University of Witwaterstrand, Johannesburg South Africa.
Na Othman Maulid