Diwani Nyarokoba Wanachi fanyeni Maendeleo.
Diwani wa kata ya Nyarokoba Matiko Bisendo akiongea na Wananchi katika Mkutano wa hadhara ambao ulifanyika hivi karibuni katika kijiji cha Genkuru |
Mwenyekiti wa kijiji cha Genkuru John Mkila akiongea na Wanachi katika Mkutano huo |
Mtendaji wa kata ya Nyarokoba Deodatus Weikama akiongea na Wananchi wa kijiji cha Genkuru |
Katikati ni Mwenyekiti wa Kijiji cha Genkuru Gichogo Chacha akisisitiza jambo kulia ni diwani wa Kata ya Nyarokoba Matiko Bisendo. |
Wananchi wakichangia. |
Akina Mama wakiwa katika Mkutano huo. |