AJAX WATUA SWEDEN NA MKWARA, NDEGE YAO SITI ZIMEANDIKWA MAJINA YA WACHEZAJI

Kesho ni fainali ya Kombe la Europa kati ya Ajax dhidi ya Manchester United.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Ajax, Edwin van der Sar amesema ’vijana wa kikosi chao watawashangaza Manchester United, kesho.
Ajax wameonekana wanajiamini na ndege waliyosafiri nayo, kila siti aliyokaa mchezaji ilibandikwa jina lake kama sehemu ya heshima na morali kwa ajili ya mchezo huo.








Powered by Blogger.