ZLATAN AUSAMEHE MSHAHARA WAKE WA MIEZI TISA MAN UNITED
Mshambuliaji mkongwe wa Man United, Zlatan Ibrahimovic amekataa mshahara wake hadi atakapopona.
Zlatan
alisaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Man United na anatakiwa
kulipwa pauni 250,000 kila wiki, yeye amesema hataki mshahara hadi
atakapopona.
Aliumia katika goti katika mechi dhidi ya Anderlecht ya Ubelgiji na sasa atalazimika kukaa nje kwa miezi tisa