WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA TAIFA LA ISRAEL ATEMBELEA SERENGETI NA NGORONGORO.
Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii,Mhandisi Ramo Makani akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani wa
taifa la Israel,Ehud Barak walipokutana katika eneo la Olduvai Gorge
katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro akiwa njiani kuelekea katika
Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (katikati) ni Meneja Mawasiliano wa
Shirika la Hifadhi za Taifa(TANAPA) Pascal Shelutete.
Waziri Mkuu wa zamani wa Taifa la
Israel,Ehud Barak (kushoto) akimueleza jambo Naibu Waziri wa Malisili na
Utalii,Mhandisi Ramo Makani baada ya kukutana katika eneo la Makumbusho
ya kale la Olduvai Gorge ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwa njiani
kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (kushoto) ni Meneja Mawasiliano
wa TANAPA,Pascal Shelutete.
Mhandisi Ramo Makani akimueleza jambo
Waziri Mkuu wa zamani wa Taifa la Israel ,Ehud Barak baada ya kukutana
katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro akiwa njiani kuelekea Hifadhi ya
Taifa ya Serengeti.
Naibu Waziri wa Malisili na
Utalii,Mhandisi Ramo Makani (katikati) akimongoza Waziri Mkuu wa zamani
wa Taifa la Israel ,Ehud Barak (kushoto) kutembelea eneo la Olduvai
Gorge .kulia ni Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa
(TANAPA) Pascal Shelutete.
Waziri Mkuu wa zamani wa taifa la Israel
,Ehud Barak akitia saini katika kitabu cha wageni huku Naibu Waziri wa
Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akishuhudia mara baada ya kufika
eneo la Olduvai Gorge akiwa njiani kuelekea Hifadhi ya Taifa ya
Serengeti kushudia tendo la wanyama aina ya Nyumbu wahamao kwa makundi.
Mhandisi Ramo Makani akimueleza jambo Ehud Barak.
Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii,Mhandisi Ramo Makani akieleza mambo ambayo amepata kuongea na
Waziri Mkuu wa Israel baada ya kukutana nae katika ene la Olduvai Gorge.
Naibu Waziri wa Malisili na
Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwa katika picha ya pamoja na Watalii wa
ndani baada ya kukutana nao katika eneo la Olduvai Gorge.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.