SHIRIKA LA CDF TARIME WAENDELEA KUWANOA MABINTI KUPITIA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI, WATENGENEZA MIKOBA,POCHI KWA KUTUMIA SHANGA.




Mabinti 40 kutoka kata za Bomani,Turwa na Nyamisangura wakiendelea na mafunzo ya Kutengeneza Pochi, Mikoba kwa kutumia Shanga ili kuweza kujikwamua kiuchumi na baahi ya Mabinti ni wale ambao wamekumbwa na tatizo la Mimba za utotoni, ukeketaji, Ndoa za Utotoni na wale wanaoishi katika mazingira hatarishi.









 Wasichana hao wamezidi kuiomba serikali kupitia Halmashauri kuwapatia mitaji ili kuendeleza vikundi vyao  katika kata ili kuendeleza ujuzi wao ambao wamepatiwa baada ya kujifunza kutengeneza mikoba, pochi kwa kutumia shanga pamoja na Mbinu za kutafuta soko.

Hata hvyo wameliomba shirika la jukwaa la Utu wa Mtoto CDF kuendelea kuwasaidia wasicha wenye mahitaji ili kuwakwamua kiuchumi.

Baadhi ya Mikoba ambayo imetengenezwa na Wasichana hao





Powered by Blogger.