MUUNGANO WA VIONGOZI WA DINI TARIME INTER FAITH WAKUTANA NA SERIKALI YA KIJIJI CHA KEISANGURA KATA YA NYAMWAGA , WAZUNGUMZIA TUKIO LA KUKATWA MKONO MWITA MAGIGE.
Wajumbe wa serikali ya kijiji cha Keisangura |
wajumbe wakichangia katika kikao hicho. |
Father Paul Joseph Kwaang akiongea na CLEO24 NEWS baada ya kikao cha pamoja na Viongozi wa serikali ya kijiji cha Keisangura Kata ya Nyamwaga Wilayani Tarime Mkoani Mara. |
Sheikh wa Mtaa wa Tarime Mjini ambaye pia ni Naibu katibu wa INTER FAITH Tawfiq Hussein akiongea na CLEO24 NEWS baada ya kikao hicho |
Viongozi wa Dini INTER FAITH Wilayani Tarime Mkoani Mara wakiongea na Mwita Magige Kulia wa kwanza nyumbani kwake kutokana na tukio la kukatwa mkono wake wa kushoto hadi kudondoka. |
Mwita Magige katikati akiongea na Uongozi wa serikali ya kijiji amesema kwa sasa hana kinyongo na uongozi kutokana na tukio lililompata. |