MKENYA MARY AWEKA REKODI MPYA LONDON MARATHONI, AZOA MAMILIONI
Hii
ni mara ya tatu Mary kushinda London Marathon na kikubwa leo ameweka
rekodi ya kukimbia kwa muda wa 2:17:01 ambayo ni rekodi mpya ya dunia.
Kutokana
na ushindi huo, Mary anaondoka na kitita cha cola 125,000 (Sh milioni
273), kinachojumuisha uvunjani wake wa rekodi hiyo.
Zawadi ya kawaida ya mshindi hula ni dola 55,000, lakini day huongezeka katakana ana kuvunja rekodi.
Tirunesh
Dibaba wa Ethiopia alifukuzana vikali na Mary katika dakika za mwisho
hata hivyo Mkenya huyo alionyesha ni bora zaidi alipofanikiwa kuibuka na
ushindi huo.