JOSHUA, KLITSCHKO WAPIMA UZITO, KILA MMOJA ATAMBA KUMMALIZA MWENZAKE KESHO
Anthony Joshua na Wladimir Klitschko, kila mmoja anaamini ni mbabe na atashinda katika pambano la kesho.
Rasmi wababe hao wamepima uzito leo la Joshua na
Klitschko kutoka Ukraine, kila mmoja anataka kumaliza ubishi kesho katika pambalo hilo la uzito wa juu jijini London.
TAKWIMU ZA JOSHUA
Age: 27
Fights: 18
Wins: 18
Draws: 0
Losses: 0
KO percentage: 100
Height/Reach: 6ft 6ins/82ins
TAKWIMU ZA KLITSCHKO
Age: 41
Fights: 68
Wins: 64
Draws: 0
Losses: 4
KO percentage: 82
Height/Reach: 6ft 6ins/81ins