Duniani PICHA 15: Hotel kali zaidi Duniani zilizopo Visiwani, Afrika zipo mbili
April 6, 2017 nakusogezea list hiyo ambayo ilichapichwa March 28, 2017 na mtandao maarufu wa CNN ukizitaja Hotel 15 ambapo mbili kati ya hizo zipo Afrika.
1: Lacaula Island – Fiji
2: Anantara Medjumbe Island Resort – Mozambique
3: Southern Ocean Lodge – Australia
4: Cap Juluca – Anguilla
5: Belmond Villa Sant’Andrea – Sicily, Italia
6: Four Seasons Resort Oahu at Ko Olina – Hawaii, Marekani
7: Secret Bay – Dominica
8: Soneva Jani – Maldives
9: The Naka Island, A Luxury Collection Resort & Spa – Phuket, Thailand
10: The Cliff Hotel – Jamaica
11: Cavo Tagoo – Mykonos, Igiriki
12: Belmond La Samanna – St. Martin
13: Nihiwatu – Sumba Island, Indonesia
14: North Island – Seychelles
15: CéBlue Villas and Beach Resort – Anguilla