DIWANI KATA YA IKOMO RORYA ANDREW NYAKRIGA AKABIDHI MIFUKO 22 YA SARUJI SHULE YA MSINGI BUGIRE
Diwani kata ya Ikoma Wilayani Rorya Mkoani Mara Andrew Mng'os Nyakriga akikagua ujenzi wa Vyumba Nane vya madarasa ambavyo vinajengwa kwa nguvu za wananchi shule ya msingi Bugire.
|
Diwani Ikomo akiongea na CLEO24 NEWS baada ya kukabidhi Mifuko 22 ya Saruji shule ya Msingi bugire iliyopo Wilayani rorya Mkoani Mara. |
Mwenyekiti wa kijiji cha Ikoma kata ya Ikomo Wilayani Rorya. |
Mwananchi akiongea na CLEO24 NEWS amezidi kusistiza wanachi kujitolea kwa lengo la kujenga Madarasa ili kunusuru watoto wao likiwemo suala zima la Madawati. |