POMBE AINA YA VIROBA VYENYE THAMANI YA BIL. 10.8 VYAKAMATWA DAR
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba (katikati) akisisitiza jambo kwa Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya operesheni maalum ya kutokomeza pombe kali aina ya viroba mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Hiiti Sillo na kushoto ni Kaimu Kamishna wa Polisi Lucas Mkondya. |