MAKONDA AKABIDHI MAJINA 97 YA WAUZAJI WAKUBWA WA MADAWA YA KULEVYA NCHINI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Paul Makonda akimkabidhi Kamishna Mkuu wa mamlaka ya kupambana na kuzuia Madawa ya Kulevya Nchini Rogers William Sianga majina 97 ya wauzaji wakubwa wa madawa leo Jijini Dar es Salaam. |
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya kupambana na kuzuia Madawa ya Kulevya Nchini Rogers
William Sianga akizungumza na viongozi mbalimbali juu ya hatua mbalimbali
watakazochukua katika kupambana na wauzaji na watumiaji wa madawa ya kulevya nchini.
|
Mkuu wa Mkoa wa
Dar es Salaam Mhe.Paul Makonda akiwa pamoja na watoto walioathirika na madawa
ya kulevya ambao kwa sasa wako chini ya uangalizi wa kituo cha Pedderef Sober
House kilichopo Kigamboni.
|