DC RORYA AKABIDHI MADAWATI 400,VITI 400 KATIKA SHULE ZA SEKONDARI 23

MKUU WA WILAYA YA RORYA SIMON CHACHA AKIKABIDHI VITI400 NA MADAWATI 400 KWA WALIMU WA SHUKLE ZA SEKONDARI 23 WILAYANI RORYA MADAWATI AMBAYO YAMETENGENEZWA NA HALMSHAURI HIYO KUPITIA FEDHA ZA CDG MILLIONI 26


MKUU WA WILAYA AKIKABIDHI MADAWATI HAYO KWA WALIMU WAKUU KATIKA SHULE ZA SEKONDARI 23
MADAWATI
WA KWANZA KUSHOTO NI MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA CHARLES CHACHA KATIKATI NI MKUU WA WILAYA YA RORYA SIMON CHACHA AKIFUATIWA NA KATIBU WA CCM RORYA LUCY BONIPHACE KATIKA TUKIO LA KUKABIDHI MADAWATI
KATIBU WA CCM WILAYA YA RORYA LUCY BONIPHACE AKIONGEA KATIKA KUKABIDHI MADAWATI KWA WLIMU WA SEKONDARI ASEMA KUWA KUNA HAJA KUBWA YA KUENDELEA KUUNGA MKONO JITIAHADA ZA ZINAZOFANYWA NA SERIKALI KATIKA UTENDAJI KAZI.
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA CHARLES CHACHA KIPINDI AKISOMA TAARIFA KWA MGENI RASMI NA KUSEMA KUWA WILAYA HIYO KWA MWAKA 2017 MAHITAJI YA MADAWATI NI 12,286, YALIYOPO NI 10,013 HIVYO IDARA YA ELIMUSEKONDARI  INAUPUNGUFU WA MADAWATI 2,273.
MKUU WA WILAYA YA RORYA SIMON CHACHA AKIONGEA NA WALIMU WA SEKONDARI KABLA YA KUKABIDHI MADAWTI 400 NA VITI 400 KATIKA SHULE ZA SEKONDARI 23 WILAYNI HUMO AMEWATAKA WALIMU HAO KUTUNZA MIUNDOMBINU YA SHULE YAKIWEMO MADAWATI HAYO NA KUDAI KUWA WILAYA YA RORYA ELIMU NI KIPAUMBELE CHA KWANZA NA LENGO NI KUFUTA SIFURI.
PICHA YA PAMOJA BAADA YA KUPOKEA MSAADA WA MADAWATI NA VITI

Powered by Blogger.