ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA WILAYA YA KIGAMBONI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kitanda wakati alipotembelea wodi ya wazazi iliyojengwa na kampuni ya mafuta ya OILCOM katika  ENEO la  Kisarawe Two wilayani Kigamboni, Januari 4, 2016. Kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa.

Wananchi wa eneo la Kisarawe Two wilayani Kigamboni wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao baada ya kukagua wodi ya wazazi iliyojengwa na kampuni ya mafuta ya OILCOM kijijini hapo. Waziri Mkuu alikuwa katika ziara ya wilaya hiyo Januari 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngombe wa kisasa wakati alipotembelea  shamba la ng'ombe wa maziwa  la MILKCOM  TANZANIA LIMITED  lililopo Kigamboni  jijini Dar es salaam. Alikuwa katika ziara ya wilaya ya Kigamboni Januari 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Powered by Blogger.